Chris Pratt
Chris Pratt (alizaliwa 21 Juni 1979[1]) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.
Chris Pratt | |
---|---|
Chris, mnamo 2018 | |
Amezaliwa | Christopher Michael Pratt 21 Juni 1979 Virginia, Minnesota, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 2000-hadi leo |
Ndoa | Anna Faris (2009-2018) Katherine Schwarzenegger (2019-hadi leo) |
Watoto | 3 |
Marejeo
hariri- ↑ "Chris Pratt: Biography", TVGuide.com. Retrieved on August 17, 2012.
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chris Pratt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |