Christiaan Johannes Joubert

Christiaan Johannes Joubert ( 1834-1911 [1] ) aliwahi kuwa mjumbe wa baraza kuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini . [1]

Christiaan Johannes Joubert

tarehe ya kuzaliwa 1834
tarehe ya kufa 1911

Alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini mwaka wa 1885 [2] baada ya kifo cha Cornelis Johannes Bodenstein. Alikuwa makamu wa rais na kaimu waziri wa madini wakati wa Witwatersrand Gold Rush ambayo ilichangia kuanzishwa kwa Johannesburg mnamo mwaka1887. [3] Nicolaas Smit alichaguliwa kuwa makamu wa rais mnamo Juni 1887 ili kumrithi Christiaan Johannes Joubert.

Wakati fulani aliwahi kuwa mwanachama wa Volksraad.

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Lantern" (kwa Kiafrikana). Adult Education Division, Union Education Department. 1986.
  2. "Almanach de Gotha 1887" (kwa Kifaransa). 1887.
  3. Hirschson, Niel (1974). The Naming of Johannesburg as an Historical Commentary (kwa Kiingereza). Nugget Press. ISBN 9780620003575.