Christine Kamau
Msanii wa Kenya
Christine Kamau ni msanii mpiga vyombo vya muziki kama vile tarumbeta wa nchini Kenya. Amekuwa akishiriki katika matamasha mbalimbali ya ndani na kutokea katika matoleo ya BBC ya ala za muziki wa Kiafrika.[1][2]
Kamau ni mbobezi katika upigaji wa ala za jazz za kiafrika, ikijumuisha nyimbo zake za "Nakuru Sunshine", "Conversations" na nyimbo ya nane kwenye albamu yake This is for You. Baadaye alitoa nyimbo zake zilizojumuisha mitindo ya jazz na rumba.[1][3]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Celebrating Kenyan Women in Music". Creatives Garage. 12 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Africa Beats: Christine Kamau". BBC. 27 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Christine Kamau". ReverbNation. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christine Kamau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |