Chuck D
Chuck D ni mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Carlton Douglas Ridenhour. Amezaliwa 1 Agosti 1960 karibu na mji wa New York. Anapiga hasa muziki wa Rap and Hip hop.

![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuck D kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |