Chuo Kikuu cha Jimbo la Kaduna
Chuo Kikuu cha Jimbo la Kaduna kiko Kaduna, Jimbo la Kaduna, Nigeria. Kina kampasi nyingine huko Kafanchan.
Kiliundwa mnamo mwaka 2004.[1][2]
Kina vitivo saba na zaidi ya idara 39 na maktaba yenye vitabu zaidi ya 17,000.
Historia
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-01. Iliwekwa mnamo 2024-07-26.
- ↑ https://www.nuc.edu.ng/nigerian-univerisities/state-univerisity/