Chuo Kikuu cha Kilimo na Maliasili cha Botswana

Chuo Kikuu cha Kilimo na Maliasili cha Botswana (BUAN) kinachojulikana rasmi kama Chuo cha Kilimo cha Botswana (BCA) ni Chuo Kikuu cha kilimo kilichopo Gaborone, Botswana.[1]

Marejeo

hariri
  1. "BUAN". www.buan.ac.bw. Iliwekwa mnamo 2024-07-17.