Chuo Kikuu cha Manchester

Chuo Kikuu cha Manchester (kwa Kiingereza: Manchester University) ni taasisi ya elimu ya juu iliyoko Manchester, Uingereza, ambayo inatoa kozi za digrii mbalimbali na huduma za utafiti katika fani mbalimbali.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Manchester kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.