Chuo Kikuu cha Minia

Chuo Kikuu cha Minia ni chuo kikuu cha umma kilicho katika Minia, Misri. Kilianzishwa mnamo mwaka wa 1976 kwa amri ya Rais Na. (93), kilichotenganishwa kutoka Chuo Kikuu cha Assiut. Kampasi yake iko kaskazini mwa Minia. Nembo yake ni Sanamu ya Nefertiti.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Minia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.