Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania


Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (kwa Kiingereza: Saint Augustine University of Tanzania; kifupi: SAUT) ni chuo kikuu cha Kanisa Katoliki kinachopatikana katika wilaya ya Nyamagana, jiji la Mwanza, Tanzania.[1]

Chuo cha Mt. agustino Tanzania

Chuo kilianzishwa mwaka 1998 kikapata usajili wa kudumu mwaka 2002 kama chuo kikuu binafsi.

Taaluma hariri

  • Kitivo cha Sheria
  • Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Mawasiliano
  • Kitivo cha Utawala wa Biashara

Marejeo hariri

  1. "Orodha ya Vyuo vikuu vya Tanzania" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 15 July 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.