Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu ni chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha Jimbo la Ondo, Nigeria, kinachomilikiwa na serikali.

Kilianzishwa mwaka 2008 na serikali ya jimbo chini ya uongozi wa Dkt. Olusegun Agagu.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Ondo State University of Science and Technology | Ranking & Review".
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.