Churchill Show (zamani Churchill Live)[1] ni kipindi cha vichekesho nchini Kenya kinachoongozwa na mchekeshaji Daniel "Churchill" Ndambuki, kilichoonyeshwa kwa mara ya kwanza mwaka 2007 kwenye mtandao wa NTV. Kipindi hicho kinarushwa moja kwa moja kutoka viwanja vya Carnivore jijini Nairobi.

Wachekeshaji

hariri
  • Eric Omondi (mcheshi)
  • Felix Omondi
  • MC Jessie
  • Chipukeezy
  • Fred Omondi
  • Karis (mcheshi)
  • YY (Oliver Otieno)
  • Janyando Mig Mig
  • Owago Onyiro
  • Poet Teardrops
  • Teacher Wanjiku
  • Eddie Butita
  • Alex Mungahi
  • Mammito Eunice
  • Steven Oduor

Marejeo

hariri