Civitas Popthensis

Civitas Popthensis ulikuwa mji wa kale wa Waroma na Waberber na sasa upo maeneo ya Henchir Kssiba ndani ya halmashauri ya Ouled Moumen kwenye mkoa wa Souk Ahras, Algeria.

Kauli ya Rogatianus.
Ramani ya Algeria.

Jina "Civitas" lilitokana na neno la Kilatini lenye maana ya "mji", hii ni kuashiria kuwa mji ulikuwa ukijiendesha kisiasa.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Civitas Popthensis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.