Claire Duck (alizaliwa 29 Agosti 1985) ni mwanariadha wa mbio ndefu wa nchini Uingereza.[1]

Claire Duck
Nchi Ufalme wa Muungano

Mnamo 2017, alishiriki katika mashidano ya mbio za wanawake huko Kampala, Uganda, katika mashinadno hayo alimaliza katika nafasi ya 62.

Marejeo

hariri
  1. "Claire DUCK | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2024-05-23.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claire Duck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.