Clara Obligado Marcó del Pont (alizaliwa mwaka 1950) ni mwandishi kutoka Argentina na Hispania.[1]

Wasifu

hariri

Clara Obligado anad shahada ya "Licenciatura" katika Fasihi kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa cha Katoliki cha Argentina. Tangu mwaka 1976, ameishi Madrid kama mkimbizi wa kisiasa kutokana na utawala wa Argentina unaojulikana kama "Proceso de Reorganización Nacional" (Mchakato wa Urejeshaji wa Kitaifa), na anayo uraia wa Hispania.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Clara Obligado" (kwa Spanish). escritoras.com. Iliwekwa mnamo 8 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "Clara Obligado gana con 'El libro de los viajes equivocados' Premio Setenil", ABC, 31 October 2012. (Spanish) 
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clara Obligado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.