Kaizari Claudius II

(Elekezwa kutoka Claudius II)

Marcus Aurelius Claudius Augustus Gothicus (10 Mei, 213 au 214 – Januari 270) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Septemba 268 hadi kifo chake chini ya jina la Claudius II.

Shaba inayoonyesha Kaizari Claudius II

Alimfuata Galienus.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Claudius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.