Coastal Union F.C.
Cosatal Union F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo mkoani Tanga.[1] inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania NBC. Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani google:coastal+union+staduim&oq=coastal+union+staduim&aqs=chrome..69i57j33i21.9812j0j15&sourceid=chrome&ie=UTF-8.
Kocha wa hii timu anitwa Juma Mgunda Juma Mgunda[2] . historia ya hii timu ni kama ifuatavyo. mwaka 1980 ilichukua kombe la Nyerere na mwaka 1988 ilichukua kombe la ligi na mwaka 1981 ilipata nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho ila ilitolewa roundi ya kwanza. ukiachana historia fupi pia kuna baadhi ya wadhamini wanaodhamini hii timu. mmoja wa wadhamini ni Binslum tyre, K4S Security na GSM Coconut Ilihifadhiwa 14 Mei 2023 kwenye Wayback Machine..
Marejeo
hariri- ↑ "Tanga - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
- ↑ "juma mgunda - Tafuta na Google". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Coastal Union F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |