Jumuiya
(Elekezwa kutoka Commonwealth)
Jumuiya (kwa Kiingereza: Commonwealth) kwa asili ya neno ni eneo la nchi lililotengwa kwa ajili ya utawala ndani ya dola fulani. Baadaye hutumiwa pia kwa muungano wa nchi kwa ajili ya malengo zilizo nayo pamoja.
Mifano
haririBaadhi ya mifano ya jumuiya ni:
- Jumuiya ya Madola
- Jumuiya ya Afrika ya Mashariki
- Jumuiya ya Nchi Huru
- Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya
- Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
- Jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta duniani
Marekani
haririNchini Marekani majimbo manne tu huitwa Commonwealth:
- Commonwealth of Kentucky
- Commonwealth of Massachusetts
- Commonwealth of Pennsylvania
- Commonwealth of Virginia