Constantius Chlorus

(Elekezwa kutoka Constantius I Chlorus)

Flavius Valerius Constantius (31 Machi 25025 Julai 306) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia mwezi Mei 305 hadi kifo chake.

Sanamu la Constantius Chlorus

Aliitwa Chlorus kwa ajili ya rangi ya uso wake kuwa nyeupe. Alimfuata Maximian. Alikuwa baba wa Konstantino Mkuu.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Constantius Chlorus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.