Kiogajivu

(Elekezwa kutoka Coracias)
Kiogajivu
Kiogajivu Habeshi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Coraciiformes (Ndege kama viogajivu)
Familia: Coraciidae (Ndege walio na mnasaba na viogajivu)
Jenasi: Coracias
Linnaeus, 1758
Spishi: Angalia katiba

Viogajivu au kambu ni ndege wa tropiki wa jenasi Coracias katika familia Coraciidae. Wanafanana na kunguru wadogo wenye rangi kali: kahawia, buluu na zambarau. Spishi nyingine zina mileli miwili nyingine zina mkia wa mraba. Hula wadudu ambao wanawakamata kutoka kitulio cha juu. Tago lao ni tundu mtini. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri