Sport Club Corinthians Paulista

(Elekezwa kutoka Corinthians)

Sport Club Corinthians Paulista ni klabu ya kandanda yenye makao yake katika mji mkuu wa São Paulo nchini Brazil.

Uwanja wa timu ya Sport Club Corinthians Paulista

Corinthians hii ilianzishwa 1 Septemba 1910.

Tuzo hariri

  • Klabu Kombe la Dunia la FIFA: 2000 e 2012
  • Kombe Libertadores: 2012
  • Ligi la Brazil (Campeonato Brasileiro): 1990, 1998, 1999, 2005, 2011, 2015, 2017
  • Kombe la Brazil (Copa do Brasil): 1995, 2002 e 2009
  • Ligi la São Paulo (Campeonato Paulista): 1914, 1916, 1922, 1923, 1924, 1928, 1929, 1930, 1937, 1938, 1939, 1941, 1951, 1952, 1954, 1977, 1979, 1982, 1983, 1988, 1995, 1997, 1999, 2001, 2003, 2009, 2013, 2017, 2018, 2019

Viunganishi vya nje hariri

Rasmi hariri