Cornwall (kwa Kikornishi: Kernow, matamshi: ˈkɛrnɔʊ) ni kaunti ya Uingereza kusini magharibi.

Truro, Cornwall

Eneo lake ni la Km² 3,562.

Wakazi ni 563,600[1][2].

Tanbihi hariri

  1. Office for National Statistics, Key Figures for 2011 Census: Key Statistics
  2. "Data from the 2011 Census (Office for National Statistics)". Cornwall Council. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 December 2013. Iliwekwa mnamo 15 November 2013.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Vyanzo hariri

Marejeo mengine hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cornwall kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.