Corrèze

département ya Ufaransa
(Elekezwa kutoka Corrèze (Département))

Corrèze ni département (Kifaransa) au department (Kiingereza) la Limousin ya Ufaransa. Mji mkuu wake ni Tulle.

Idara ya Corrèze, Tulle
Mahali pa Corrèze katika Ufaransa

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Corrèze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.