Cosmas Mtakatifu (aliuawa kati ya 287 na 303) alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo. Pia alikuwa kaka ya Damian Mtakatifu. Inasemekana walitokea Uarabuni.

Cosmas Mtakatifu na Damian Mtakatifu

Hali ya maisha na kifodini chake haijulikani kwa uhakika.

Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba[1].

Takriban mwaka 530, Papa Felix IV aliwatolea Cosmas na Damian Watakatifu basilika maarufu katika mji wa Roma.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.