Count Basie
Count Basie (21 Agosti 1904 – 26 Aprili 1984) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni William Basie. Alikuwa anapiga muziki wa Jazz.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Count Basie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |