Cynthia Mamle Morrison

Mwanasiasa wa Ghana


Cynthia Mamle Morrison (alizaliwa 17 Januari 1964) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa New Patriotic Party. Kwa sasa ni mbunge wa jimbo la Agona Magharibi. Mnamo tarehe 9 Agosti 2018, aliteuliwa kuwa Waziri mteule wa Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii na Rais Nana Akufo-Addo[1][2] [3]. Rasmi Waziri wa Jinsia, Watoto na Ulinzi wa Jamii[4].

Cynthia Mamle Morrison

Amezaliwa 17 Januari 1964
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanasiasa

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cynthia Mamle Morrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.