Cynthia Muvirimi

Cynthia Maideyi Muvirimi (amezaliwa tar. 22 Mei 1983, Harare, Zimbabwe) ni mwanamitindo kutoka Zimbabwe. Kuwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World 2008.[1]

Cynthia Muvirimi
Miss Zimbabwe 08 Cynthia Muvirimi.jpg
Amezaliwa Cynthia Maideyi Muvirimi
Miaka ya kazi 2007 - hadi leo

MarejeoEdit

  1. "Zimbabwe: Cynthia Muvirimi is New Miss Tourism Zimbabwe", The Herald (Zimbabwe), 2007-12-17. Retrieved on 2014-05-01. 

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cynthia Muvirimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.