Cynthia Shalom
Cynthia Shalom (alizaliwa Ede, jimbo la Osun, 18 Machi 1988) ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na mfanyabiashara wa Nigeria.
Cynthia Shalom | |
---|---|
Cynthia Shalom kama muigizaji | |
Amezaliwa | 18 Machi 1988 |
Kazi yake | mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na mfanyabiashara wa Nigeria |
Alishinda msimu wa 11 wa kipindi cha Next Movie Star.[1] Tangu wakati huo ameonyeshwa katika filamu kadhaa za Nollywood. Alionekana katika safu ya runinga ya M-net Tinsel.
Maisha ya mwanzo na elimu
haririCynthia Shalom ndiye binti wa kwanza kutoka familia ya wana watatu wa kiume na wa kike wawili. Alipata elimu yake ya msingi na sekondari huko Port Harcourt ambapo aliishi na wazazi wake.[2] Baada ya kupata shahada ya usimamizi kutoka chuo kikuu cha Port Harcourt na udhibitisho kutoka kwa Africa International Film Festival (AFRIFF). Katika mahojiano na Vanguard Nigeria alisema alihamia Lagos kuendelea na kazi yake ya uigizaji.[3]
Kazi
haririShalom alikuwa mshindi wa kipindi cha Next Movie Star Reality Show mnamo mwaka 2015/2016. Alifanya uigizaji wake wa kwanza katika kipindi cha mazungumzo ya Monalisa Chinda kilichoitwa You & I na Monalisa. Aliiambia The Punch kwamba kukataliwa ni moja wapo ya vizuizi alivyopaswa kushinda wakati akianza Nollywood[4] .Mnamo mwaka wa 2016 aliigizwa katika filamu yake ya kwanza ya An Hour with the Shrink na Annie Macaulay-Idibia, Gbenro Ajibade, na Segun Arinze[5].Shalom alishirikiana na Desmond Elliot katika The Damned filamu ya kiirokotvf[6][7].Mnamo mwaka 2018 Shalom alianzisha kampuni yake ya utengenezaji wa filamu, Cynthia Shalom Productions. Jukumu lake katika moja ya sinema yake iliyoitwa Chain [8] ambayo inamuonyesha Eddie Watson, Enado Odigie, Emem Ufot ilipata uteuzi wake wa kibinafsi mwigizaji bora katika nafasi ya kuongoza na mwigizaji chipukizi katika Tuzo Bora za Nollywood 2019.[9][10]
Sanaa zilizochaguliwa
haririFilamu
hariri- Next Movie Star (2015/2016)
- Iquo’s Journal (2015).[11]
- An Hour With The Shrink (2016)
- Thorns of love (2016)
- No I Dont (2017)
- The Damned (2017)
- Roberta (2017)
- Karma (2017)
- Ebomisi (2018).
- Chain (2018)
- Driver (2018)
- Altered Desire (Africa Magic) (2019)
- Beauty in the Broken (Irokotv) (2019)
- The Second Bed (2020).
- Back to the Wild (Irokotv) (2019)
- Love Castle (2019)
- Rachel’s Triumph (2019)
- Shut (2020)
- Fading Blues (Irokotv) (2020)
- Wind of Desire (2020)
- Birth Hurts (2020)
Televisheni
hariri- Dear Diary (muendelezo wa filamu za televisheni) sehemu ya 2 (2016).[12]
- Tales of Eve (2017)
- I5ive (2019)
- Jela (2019)
- Tinsel (2017-present)
Tuzo na uteuzi
haririMwaka | Tukio | Zawadi | Matokeo |
---|---|---|---|
2016 | All Youth Tush Awards | Filamu bora ya mwaka nafasi ya pili | Mshiriki |
2019 | Maya Awards Africa | Muigizaji bora wa kike ajaye | Mshiriki |
2019 | Best of Nollywood Awards | Muigizaji bora wa kike katika uhusika mkuu
Muigizaji bora chipukizi wa kike |
Mshiriki. |
Marejeo
hariri- ↑ "Cynthia Shalom Shares Her Experience". Encomium. 2016-11-16. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ "I Like Playing Roles That Challenge Me". The Punch. 2020-05-03. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ Ajose, Kehinde (2015-02-27). "Im One Of Majid Michels Admirers". Vanguard. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ Samuel, Olajide (2020-01-05). "Nothing Wrong With Marrying Older Lover". The Punch. Iliwekwa mnamo 2020-08-19.
- ↑ "An Hour With The Shrink". Pulse. 2016-03-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "The Damned". Talk African Movies. 2017-07-30. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ Olatunji, Samuel (2016-09-11). "Cynthia Shalom, Next Movie Star". The Punch. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ "Pictures from Nollywood Private Screening of Chain the Movie Produced by Cynthia Shalom". Nigerian women diary. 2018-11-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-17.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Lenbang, Jerry (2019-09-30). "Nominees for 2019 BOn Awards". The Cable Lifestyle. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ "2019 Bon Awards Nomination". Bella Naija. 2019-09-30. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ Ade-Unuigbe, Adesola (2015-06-30). "Red Carpet photos of Iquo's Journal". Bella Naija. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
- ↑ "Cynthia Shalom Shines in Dear Diary Season 2". The Nigerian Voice. 2016-10-19. Iliwekwa mnamo 2020-08-18.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cynthia Shalom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |