Cyril Norman Hinshelwood

Cyril Norman Hinshelwood (19 Juni 18979 Oktoba 1967) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mwendo wa athari za kikemia. Mwaka wa 1948 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1956, pamoja na Nikolay Semyonov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Cyril Hinshelwood
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyril Norman Hinshelwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.