Sirili wa Barcelona

(Elekezwa kutoka Cyril wa Barcelona)

Sirili Sieni wa Barcelona (alifariki baada ya 1799) alikuwa mtawa wa Shirika la Wakapuchini na askofu mmisionari kutoka Hispania nchini Marekani.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.