Parare

(Elekezwa kutoka Cyrtacanthacris)
Parare
Parare-bustani (Acanthacris ruficornis)
Parare-bustani (Acanthacris ruficornis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Orthoptera (Wadudu wenye mabawa nyofu)
Nusuoda: Caelifera (Wadudu kama panzi)
Familia: Acrididae (Panzi)
Nusufamilia: Cyrtacanthacridinae
Spishi: Angalia katiba
Ngazi za chini

Jenasi za Afrika 22:

Parare (pia barare) ni wadudu wakubwa wa jamii ya panzi wenye miiba mikubwa kwenye miguu ya nyuma. Kisayansi ni wana wa nusufamilia Cyrtacanthacridinae katika familia Acrididae. Panzi hao ni miongo mwa wakubwa kabisa wa panzi wote. Wakiruka juu hufanana na ndege wadogo (kwa hivyo jina lao la Kiingereza ni “bird locust” au “bird grasshopper”). Spishi kadhaa za nzige ni aina za parare wakiishi kiwa. Spishi nyingi za parare zina baka jeusi kwenye mabawa ya nyuma au mabawa yana rangi kali kwa msingi. Pengine mabawa ni meusi takriban kabisa.

Spishi za AfrikaEdit

PichaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Parare kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.