David Bryan "D.B." Woodside (amezaliwa tar. 25 Julai 1969 mjini Jamaica, Queens, New York) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani.

D.B. Woodside

Woodside, mnamo 2015
Amezaliwa David Bryan Woodside
25 Julai 1969 (1969-07-25) (umri 54)
Jamaica, Queens, New York, Marekani

Huenda akawa anafahamika kwa kuigiza kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani (na baadaye Rais) Wayne Palmer katika mfululizo wa FOX - 24. Mengineyo, anafahamika kwa kushiriki kwake katika The Temptations na Buffy the Vampire Slayer.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D. B. Woodside kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.