DNA ya mitokondria

DNA ya mitokondria (pia ADN ya mitokondria, kutoka Kiingereza Mitochondrial DNA, kifupi mtDNA au mDNA)[1] ni urithi wa jeni ambao unapatikana katika mitokondria na ni sehemu ndogo ya urithi wote wa viumbe hai.

DNA ya mitokondria ya binadamu.

Upekee wake ni kwamba katika binadamu na viumbe vingine vingi unatolewa na mama tu kwa watoto wake wote[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Sykes, B (10 September 2003). "Mitochondrial DNA and human history". The Human Genome. Wellcome Trust. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-07. Iliwekwa mnamo 5 February 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Mitochondrial DNA: The Eve Gene". Bradshaw Foundation. Bradshaw Foundation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-12. Iliwekwa mnamo 5 November 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DNA ya mitokondria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.