DOT Tanzania (Digital Opportunity Trust) ni asasi ya kimataifa inayofanya kazi zake nchini Tanzania ikijiendesha bila faida, ikiwafundisha vijana katika masuala ya ubunifu. Taasisi hii huwaelekeza vijana katika kuweza kutambua fursa mbalimbali zilizopo pamoja na kutumia vyema mifumo ya kidigitali [1].

Mafunzo ya Biashara Kidigital Arusha

Digital Oportunity Trust inafanya kazi katika nchi kadhaa barani Afrika zikiwemo Kenya, Ethiopia, Afrika Kusini, Uganda na nyinginezo.

DOT Tanzania moja ya miradi yake ni kuwawezesha vijana elimu ya biashara hasa kwa vijana wajasiriamali; mradi huo unajulikana kama Digital Business

Marejeo

hariri