Dafrosa Itemba

Mkurugenz mtendaji

Dafrosa Kokulingilila Itemba ni mtafiti katika masuala ya jamii, mazingira na afya, akilenga hasa katika ugonjwa wa UKIMWI.

Dafrosa Itemba
Nchi Tanzania
Majina mengine Dafrosa kokulingilila Itemba
Kazi yake Mkurugenzi mkuu wa TAWREF

Kazi hariri

Dafrosa ni Mkurugenzi mkuu wa TAWREF (Tanzania Women Research Foundation) nchini Tanzania[1]. Mnamo mwaka 2019, Dafrosa chini ya TAWREF walifikia kilele cha ujenzi wa nyumba 116 za bei ya nafuu kwa yatima na watoto waishio katika mazingira magumu, mradi ulioanza tangu 2012. [2] Dafrosa amechapisha makala mbalimbali juu ya ugonjwa wa UKIMWI,mojawapo ya makala zake ni

  • Ufanisi wa gharama ya ushauri wa bure wa VVU na upimaji hiari kupitia Mashirika ya kijamii ya huduma za UKIMWI katika jamii za Kaskazini mwa Tanzania.[3]
  • Historia ya Kiwewe na Unyogovu wa Kutabiri Kukamilika kwa Utiifu wa Matibabu ya Ukingaji Katika Nchi zenye kipato duni[4]

Makala nyingine ziko katika kiungo hiki


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dafrosa Itemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.