Daiklonini
Daiklonini, yaani Dyclonine, pia inajulikana kama dyclocaine, ni dawa ya kuleta ganzi inayotumika kutibu maumivu ya koo au mdomo.[1] Inapatikana kama tone la kikohozi. [1] Athari zake zinaweza kuanza ndani ya dakika 10 na kudumu hadi dakika 30. [1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuumwa.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha athari za mzio na kizunguzungu.[1] Usalama wake katika ujauzito hauko wazi. [2] Dawa hii sio asidi za esta au amide.[2]
Daiklonini ilikuwa katika matumizi ya kimatibabu angalau mapema kama miaka ya 1950.[3] Ni bidhaa inayopatikana kwenye kaunta chini ya jina la chapa Sucrets miongoni mwa zingine.[1]
Marejeleo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 "Dyclonine Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 Logothetis, Demetra D. (15 Machi 2016). Local Anesthesia for the Dental Hygienist (kwa Kiingereza). Elsevier Health Sciences. uk. 83. ISBN 978-0-323-43050-0. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2021.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ GREIFENSTEIN, FE; HARRIS LC, Jr; PARRY, JC (Septemba 1956). "Dyclonine; a new local anesthetic agent: clinical evaluation". Anesthesiology. 17 (5): 648–52. doi:10.1097/00000542-195609000-00002. PMID 13355009.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)