Dallas Mavericks

Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani

Dallas Mavericks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Dallas, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Dirk Nowitzki.

Mmoja kati ya wachezaji wa timu ya Dallas Mavericks ya mpira wakikiapu

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Dallas Mavericks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.