Daman, Uhindi

(Elekezwa kutoka Daman, India)


Daman ni mji mkuu wa eneo la muungano la Daman & Diu katika Uhindi. Mji upo mita 5 juu ya usawa wa bahari.

Daman
Daman is located in Uhindi
Daman
Daman

Mahali pa mji wa Daman katika Uhindi

Majiranukta: 20°25′0″N 72°51′0″E / 20.41667°N 72.85000°E / 20.41667; 72.85000
Nchi Uhindi
Union Territory Daman & Diu
Wilaya Daman
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 35,743
Tovuti:  www.daman.nic.in/
Kanisa la Daman, Uhindi.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, kuna wakazi wapatao 36,000 wanaoishi katika mji huu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Daman, Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.