Damas Pascal Nakei

Damas Pascal Nakei (amezaliwa tar. 19 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Babati Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Damas Pascal Nakei (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.