Damian Kyaruzi

Damian Kyaruzi (amezaliwa 22 Aprili 1940) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Mario Epifanio Abdallah Mgulunde mwaka 1997.

Tangu mwaka huo, alikuwa askofu wa Jimbo la Sumbawanga hadi alipostaafu mwaka 2018.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Damian Kyaruzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.