Dancehall ni aina ya muziki maarufu sana nchini Jamaica na ulimwenguni kwa ujumla. Aina hii ya muziki ilianza mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelezwa vyema katika miaka ya 1980 na kuja kutambulikana ulimwenguni kote kwenye miaka ya 1990.[1] Muziki huu ni kombinenga la muziki wa reggae, hip hop, na R&B.

Marejeo hariri

  1. Niaah, Sonjah Stanley (July 10, 2010). DanceHall: From Slave Ship to Ghetto (kwa English). Ottawa: University of Ottawa Press. ISBN 9780776607368.  Check date values in: |date= (help)