Danny Welbeck

Wachezaji mpira wa Uingereza

Daniel Nii Tackie Mensah Welbeck (alizaliwa tarehe 26 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza.

Welbeck akicheza katika klabu ya Arsenal mwaka 2014
Welbeck akicheza katika timu yake ya taifa ya Uingereza mwaka 2012

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danny Welbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.