Dante DeCaro
Dante DeCaro (amezaliwa Januari 26, 1981) wa Ziwa la Shawnigan, British Columbia, alikuwa mpiga gitaa/mtunzi wa nyimbo wa bendi ya Kanada ya Hot Hot Heat.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Wolf Parade Bio", SubPop.com, August 13, 2007.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dante DeCaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |