Daraja la Kilombero
Daraja la Kilombero ni daraja chini ya ujenzi utakaovuka Mto Kilombero nchini Tanzania.
Daraja la Kilombero English: Kiombero Bridge | |
---|---|
Kivuko cha MV Kilombero | |
Yabeba | Leni 2 |
Yavuka | Mto Kilombero |
Mahali | 5 km kusini mwa Ifakara |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Mhandisi | NIMETA Consult (T) Ltd & Howard Humphreys (Tanzania) Ltd |
Urefu | mita 384 |
Upana | mita 11.3 |
Mjenzi | China Railway 15th Bureau Group Corporation |
Ujenzi ulianza | Novemba 2012 |
Ujenzi utakamilika | Oktoba 2014 (makadirio) |
Gharama za ujenzi | TZS 53.7 billion |
Badala ya | Kivuko cha MV Kilombero |
Anwani ya kijiografia | 8°11′22.46″S 36°41′36.68″E / 8.1895722°S 36.6935222°E |
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |