Daraja la Mkapa ni daraja lenye urefu wa mita 970 linalovuka mto Rufiji nchini Tanzania. Liko katika Mkoa wa Pwani ya Ikwiriri na Nyamwage. Linapitiwa na barabara ya B2[1].

Daraja la Mkapa
English: Mkapa Bridge
Majina mengineDaraja la Rufiji
YabebaBarabara kuu ya B2 (leni 2)
YavukaMto Rufiji
MahaliIkwiriri, Tanzania
MmilikiSerikali ya Tanzania
Mbunifu wa mradiH. P. Gauff Ingenieure GmbH & Co (Ujerumani)
Urefumita 970.5
MjenziImpresa Ing. Fortunato Federici S.p.A. (Italia)
Gharama za ujenziUS$ 30 milioni
Kilizinduliwa2 Agosti 2003
Anwani ya kijiografia8°0′46″S 38°58′10″E / 8.01278°S 38.96944°E / -8.01278; 38.96944
Daraja la Mkapa is located in Tanzania
Daraja la Mkapa
Mahali ya daraja nchini Tanzania

Daraja lilifunguliwa rasmi na rais Benjamin Mkapa kwenye tarehe 2 Agosti 2003 likachukua nafasi ya kivuko cha awali.

Marejeo

  1. Top longest bridges in Africa, tovuti ya CCE News ya tar. 2 Januari 2018
  • Milledge, S.A.H. and Kaale, B.K. (2005). Bridging the Gap - Linking timber trade with infrastructure development in Southern Tanzania: Baseline data before completion of the Mkapa Bridge. TRAFFIC East/Southern Africa, Dar es Salaam, Tanzania. ISBN: 0-9584025-9-0, online hapa