Darlington Michaels
Darlington Michaels (amejulikana sana kama Papa G; amezaliwa kwenye mashamba ya Johannesburg, 1 Agosti 1970) ni mmoja wa waigizaji maarufu nchini Afrika Kusini.
Darlington Michaels | |
---|---|
Amezaliwa | Darlington Michaels 1 Agosti 1970 Johannesburg |
Jina lingine | Papa G |
Kazi yake | Muigizaji |
Anafahamika kwa kipindi chake cha miaka kumi na sita katika uwanja wa Isidingo, ambao ulianza mnamo mwaka 1998.
Maisha yake ya awali
haririDarlington Michaels kama kijana, aliathiriwa na ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, na fursa hazikuweza kumpata kiurahisi,
Elimu
haririDarlington Michaels alianza na kumaliza elimu yake aya msingi na upili nchini Johannesburg. hakuwahi kupitia mafunzo yoyote ya uigizaji lakini kipaji kilikuwa ndani yake,
Maisha binafsi
haririMuigizaji mkongwe, Darlington Michaels alitengeneza vichwa vya habari mnamo 2015 baada ya kuugua ugonjwa wa kupooza . alihitaji msaidizi kwenye kiti cha magurudumu kutokana na khali ya kupooza kwake. Darlington Michaels alikaririwa na vyombo vya habari akisema mtayarishaji wa filamu ya Isindingo alishindwa kumsaidia alipo hitaji msaada. baada ya kuacha kuendelea na onesho la Isindingo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Darlington Michaels kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |