Darmstadt ni mji wa Kijerumani katika jimbo la Hesse takriban kilomita 30 kusini ya Frankfurtni mji wenye wakazi wapatao 141,000. Mji uko baina ya Frankfurt am Main na Heidelberg.

Muonekano wa Mji wa Darmstadt

Elementi ya Darmstati iligunduliwa mjini hapa mwaka 1994.

Picha za Darmstadt hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Darmstadt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.