Dasi, Juliani, Reatri, Vinsenti na wenzao

Dasi, Juliani, Reatri, Vinsenti na wenzao ishirini na sita (walifariki 500 hivi) ni kati ya Wakristo Wakatoliki wa Afrika Kaskazini waliouawa na Waario Wavandali kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.