Dasyo wa Milano (kwa Kilatini: Dacius au Datius; alifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 5 Februari 552) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa mji huo kuanzia mwaka 530 hadi kifo chake.

Mt. Dasyo akifukuza pepo.

Alitetea imani sahihi pamoja na Papa Vijili dhidi ya kaisari Justiniani I hadi Konstantinopoli.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.