David "Tweener" Apolskis
David "Tweener" Apolskis ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Lane Garrison. Tweener alianza kuonekana kama mmoja kati wahusika wakuu, ni baada ya kufikia sehemu ya tatu ya mfululozo huu katika msimu wa kwanza, ulijulikana kama "Tweener".
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
David Apolskis | |
Mwonekano wa kwanza: | Tweener |
Msimu: | 1,2 |
Imechezwa na: | Lane Garrison |
Pia anajulikana kama: | Tweener Vanilla Ice Kid |
Viungo vya Nje
hariri- David "Tweener" Apolskis' biography Ilihifadhiwa 1 Julai 2007 kwenye Wayback Machine. at Fox.com