Daudi Galvan (kwa Kihispania David Galván Bermúdez; Guadalajara, Jalisco, Mexico, 29 Januari 1881Guadalajara, Jalisco, Mexico, 30 Januari 1915[1]) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kwa kutetea utakatifu wa ndoa[2].

Picha yake halisi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[3]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. David Galván Bermúdez
  2. Manuel, Alcántara; Mercedes, García Montero; Francisco, Sánchez López (2018). Arte y patrimonio cultural: Memoria del 56.º Congreso Internacional de Americanistas (kwa Kihispania). Ediciones Universidad de Salamanca. uk. 754. ISBN 9788490129166. 
  3. "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-25. 
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.